Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]Kuna nyumba nyingine me nkienda nkajicheki kweny kioo najiona kama dume la nyani..... Nyumba nyingine najiona mrembo kweli..... Nyumba nyingine najiona tako, nyumba nyingine flat had uchogo..... Eeeh nyumba nyingine ety na bonge la bichwa....... Nyumba nyingine ety tako ninalo, sura nzuri ninayo
Sio mpka awe mtupu mremboAkiwa mtupu haitakiwi
Nliambiwa akiwa mtupu anapata jini tofauti na jinsia yakeSio mpka awe mtupu mrembo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwa mtazamo wako mkuu sura unahis itakuaje..... Ety Leo nmejiangalia yani tako sina kabisa jamani kioo kinanisaliti sana[emoji16]basi kwenye sura tu ndo kioo kimekudanganya ila vingine vyote kioo kimesema ukweli
🤣🤣🤣Kuna nyumba nyingine me nkienda nkajicheki kweny kioo najiona kama dume la nyani..... Nyumba nyingine najiona mrembo kweli..... Nyumba nyingine najiona tako, nyumba nyingine flat had uchogo..... Eeeh nyumba nyingine ety na bonge la bichwa....... Nyumba nyingine ety tako ninalo, sura nzuri ninayo
Ni kweli unakumbwa naloNliambiwa akiwa mtupu anapata jini tofauti na jinsia yake
Mhhhh ni hatariNi kweli unakumbwa nalo
Ni kweli loveMhhhh ni hatari
Ni kuomba Mungu...Ni kweli love