naomba kujua undani wa biashara ya max malipo tigo pesa na mpesa faida zake.

naomba kujua undani wa biashara ya max malipo tigo pesa na mpesa faida zake.

Bernard bakari

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2016
Posts
407
Reaction score
781
Habari wakuu nimefanikiwa kupata milion 7 na nimepewa fremu ya bure na Baba mkwe wangu cha kufanya ni kuiboresha kulingana na biashara ninayotaka kuifanya.

Sasa baada ya kuwaza nikaona nifanye biashara ya Max malipo lakini nikasema nipate ushauri wa wadau humu ndani ya jamii forum maana humu hakiharibiki kitu. Kwa wale waliowahi kufanya au wanaofanya wanijuze faida ya hii biaahara ipoje naogopa nisije angukia pua. Nitashukuru sana kwa mwongozo wetu
 
Forex ipo vizuri
Mkuu hii niliona wakilalamika wamedhulumiana sasa mimi biashara ya kudhulumiana naiogopa na sipendi dhulumu wala dhulumiana. Pesa nimezipata kwa kukesha usiku na baridi kali sasa mtu ajr adhurumu tutapelekana segerea na mwisho nitaharibu dira ya maisha yangu
 
iko poa, nina magoli mawili sasa, hakikisha sehemu uliyopo ina mzunguko mkubwa sana wa watu maana unalipwa kwa commission, the more you transact the more you get paid........ila hapo kwa baba mkwe wako kama huna uhakika wa kupata wateja angalau 50 kwa siku, basi achana napo tafuta sehemu nyingine
 
vp mpk leo utaratibu ndoule ule au umebadilika
 
Back
Top Bottom