Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Habari wakuu nimefanikiwa kupata milion 7 na nimepewa fremu ya bure na Baba mkwe wangu cha kufanya ni kuiboresha kulingana na biashara ninayotaka kuifanya.
Sasa baada ya kuwaza nikaona nifanye biashara ya Max malipo lakini nikasema nipate ushauri wa wadau humu ndani ya jamii forum maana humu hakiharibiki kitu. Kwa wale waliowahi kufanya au wanaofanya wanijuze faida ya hii biaahara ipoje naogopa nisije angukia pua. Nitashukuru sana kwa mwongozo wetu