Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Mkuu hii niliona wakilalamika wamedhulumiana sasa mimi biashara ya kudhulumiana naiogopa na sipendi dhulumu wala dhulumiana. Pesa nimezipata kwa kukesha usiku na baridi kali sasa mtu ajr adhurumu tutapelekana segerea na mwisho nitaharibu dira ya maisha yanguForex ipo vizuri
Gorani kijiweni maeneo ya kimara suka kwa juufrem iko wapi
km pana makutano ya watu wengi fungua TpesaGorani kijiweni maeneo ya kimara suka kwa juu
vp mpk leo utaratibu ndoule ule au umebadilikaiko poa, nina magoli mawili sasa, hakikisha sehemu uliyopo ina mzunguko mkubwa sana wa watu maana unalipwa kwa commission, the more you transact the more you get paid........ila hapo kwa baba mkwe wako kama huna uhakika wa kupata wateja angalau 50 kwa siku, basi achana napo tafuta sehemu nyingine