Naomba kujua usajiri wa timu za dar kwa mwenye list tafadhali

cute Queenly

Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
19
Reaction score
12
Naomba kwa mwenye kujua usajiri wa timu zote tatu za dar , yaani Azam, Simba na Yanga.

Natanguliza shukrani za dhati
 
Mkuu nikitaka nikuwekee usajiri wa Yanga but bado kuna info za wachezaji wawili nazifatilia kupata uhakika wa usajiri wao,kisha ntarudi hapa na taarifa kamili..wa azam na simba watakuwekea wengine...but pia kama kuna member mwenye usajiri kamili wa Yanga atuwekee hapa pia kwa faida ya wote...
 
Hata mm nasubiri kwa hamu
 
Mkuu umetokomea jumla?
 
Mkuu umetokomea jumla?
YANGA SC:
Youth Rostand
R.Kabwili
B.Kakolanya
R.Kessy
J.Abdul
H.Mwinyi
G.Michael
A.Horoub 'Canavaro'
K.Yondani
H.Shaibu 'ninja'
P.Ngonyani
P.K.Tshishimbi
T.Kamusoko
R.Daudi
J.Makapu
J.Mahadhi
B.Akilimali
P.Buswita
I.Ajibu
D.Ngoma
A.Tambwe
O.Chirwa
M.Antony
E.Martin
G.Mwashiuya
Y.Muhilu
Mkuu nimejaribu kuwaweka hao ambao nimewakumbuka kwa haraka,but kuna mchezaji mmoja wa kimataifa ni beki nadhani next week atamwaga wino jangwani then list itakua imekamilika.
 
Mtu ataponaje kwa kikosi hiki...eti wananunua!!!
 
Back
Top Bottom