cute Queenly
Member
- Aug 5, 2017
- 19
- 12
Naomba kwa mwenye kujua usajiri wa timu zote tatu za dar , yaani Azam, Simba na Yanga.
Natanguliza shukrani za dhati
Natanguliza shukrani za dhati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mm nasubiri kwa hamuMkuu nikitaka nikuwekee usajiri wa Yanga but bado kuna info za wachezaji wawili nazifatilia kupata uhakika wa usajiri wao,kisha ntarudi hapa na taarifa kamili..wa azam na simba watakuwekea wengine...but pia kama kuna member mwenye usajiri kamili wa Yanga atuwekee hapa pia kwa faida ya wote...
Mkuu umetokomea jumla?Mkuu nikitaka nikuwekee usajiri wa Yanga but bado kuna info za wachezaji wawili nazifatilia kupata uhakika wa usajiri wao,kisha ntarudi hapa na taarifa kamili..wa azam na simba watakuwekea wengine...but pia kama kuna member mwenye usajiri kamili wa Yanga atuwekee hapa pia kwa faida ya wote...
Kumbe bado hamjapata?well ngoja niweke.Mkuu umetokomea jumla?
YANGA SC:Mkuu umetokomea jumla?
Mtu ataponaje kwa kikosi hiki...eti wananunua!!!YANGA SC:
Youth Rostand
R.Kabwili
B.Kakolanya
R.Kessy
J.Abdul
H.Mwinyi
G.Michael
A.Horoub 'Canavaro'
K.Yondani
H.Shaibu 'ninja'
P.Ngonyani
P.K.Tshishimbi
T.Kamusoko
R.Daudi
J.Makapu
J.Mahadhi
B.Akilimali
P.Buswita
I.Ajibu
D.Ngoma
A.Tambwe
O.Chirwa
M.Antony
E.Martin
G.Mwashiuya
Y.Muhilu
Mkuu nimejaribu kuwaweka hao ambao nimewakumbuka kwa haraka,but kuna mchezaji mmoja wa kimataifa ni beki nadhani next week atamwaga wino jangwani then list itakua imekamilika.
Hapa lazima wakae...!Mtu ataponaje kwa kikosi hiki...eti wananunua!!!
Hapo lazima waende fifa kudai point za mtibwa sukariHapa lazima wakae...!