Naomba kujua utaratibu wa kuanzisha ulinzi shirikishi kwenye shina

Naomba kujua utaratibu wa kuanzisha ulinzi shirikishi kwenye shina

Heri

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2007
Posts
605
Reaction score
512
Ninaomba kujua taratibu kuanzisha ulinzi shirikishi kwenye shina letu.

Kisheria, je ni lazima kujiunga?
 
Fika kituo cha polisi kilicho karibu nawe na hayo yote utaambiwa uko au muone mwenyekiti wako
 
Back
Top Bottom