L Lilian Gerald Member Joined Dec 3, 2022 Posts 9 Reaction score 3 Dec 14, 2022 #1 Kama mtu yeyote anayefanya biashara ya umachinga stand ya mabasi ya Mbezi mwisho? Naomba kujua utaratibu upoje, muda mzuri wa kuanza umachinga ni saangapi? Natanguliza shukrani. [emoji120]
Kama mtu yeyote anayefanya biashara ya umachinga stand ya mabasi ya Mbezi mwisho? Naomba kujua utaratibu upoje, muda mzuri wa kuanza umachinga ni saangapi? Natanguliza shukrani. [emoji120]