Lilian Gerald
Member
- Dec 3, 2022
- 9
- 3
Kama mtu yeyote anayefanya biashara ya umachinga stand ya mabasi ya Mbezi mwisho? Naomba kujua utaratibu upoje, muda mzuri wa kuanza umachinga ni saangapi?
Natanguliza shukrani. [emoji120]
Natanguliza shukrani. [emoji120]