Naomba kujua utaratibu wa kupata mafao ya kujitoa ktk mifuko ya jamii

Bandabichi

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
230
Reaction score
42
Heshima mbele wakuu,

naomba kujua utaratibu wa kupata mafao yako kupitia mfumo wa FAO LA KUJITOA. Je inchukua mda toka tarehe ya

kuacha kazi.

Coz nimeacha kazi hivi karibuni na nataka mkwanja huo unisaidie mtaani kwa issue nyingine kuna kama 4.5 ml hivi.

Heshima mbele wakuu.
 
Nenda kwenye mfuko husika, watakupa taratibu zote.
 
Aksante kwa ushauri mzuri, Ila napenda kurahisisha ili nikienda huko naanza stage ya pili na sio moja.

Coz kwa sasa mi siishi mjini kiongozi so nenda rudi sio nzuri unakuwa unapishana na HELA.

Chukua mfano mtu unaishi RUNGWA Manyonin ambako ni mpakani na CHUNYA-Mbeya na mkoa wa Singida kupitia

manyoni. Ukitaka kusafiri kufika Singida mjini unatoka Manyoni saa kumi na mbili jioni. Unasubili magari yanatoka Chunya

kuelekea Singida mjini.

Chukulia huo mfano tu, Halafu pia mtu akiuliza haimanishi kwamba faida ile ya kuuliza swali anaipata pekee yake la hasha.

Niwengi humu tunajifunza mabo mengi kupitia wengine ndugu
 
Tuliza munkari kaka,ila ofisi za mfuko husika zitakusaidia na ndiyo zitakupa taarifa sahihi zaidi.
 
Baada ya kuacha kazi unatakiwa ukae miezi sita ndipo uanze taratibu za kuchukua mafao yako, ukiwa na barua YA UDHIBITISHO toka kwa mwajiri wako inayo onesha KUKUBALIWA KUACHA KAZI. Baada ya taribu hizo itakuchukua kipindi cha wiki mbili hadi mwezi mmoja kuweza kupata cheki ya mafao yako
 
Nikushukuru wewe kwa maelezo yako mazuri ndg, Usinisau unaposhuka pale ndiuka. Ndimuyago ngwikila pa fiveengi bheee Mwagito.
 
...inatakiwa Barua ya mwajiri inaonyesha kwamba umeacha kazi, kitambulisho cha uanachama wa mfuko husika(ujue ni lini ulijiunga) kama hukupewa basi utaeleza, kitambulisho chako-chochote kile si lazima kiwe cha kazi
 
Back
Top Bottom