Aksante kwa ushauri mzuri, Ila napenda kurahisisha ili nikienda huko naanza stage ya pili na sio moja.
Coz kwa sasa mi siishi mjini kiongozi so nenda rudi sio nzuri unakuwa unapishana na HELA.
Chukua mfano mtu unaishi RUNGWA Manyonin ambako ni mpakani na CHUNYA-Mbeya na mkoa wa Singida kupitia
manyoni. Ukitaka kusafiri kufika Singida mjini unatoka Manyoni saa kumi na mbili jioni. Unasubili magari yanatoka Chunya
kuelekea Singida mjini.
Chukulia huo mfano tu, Halafu pia mtu akiuliza haimanishi kwamba faida ile ya kuuliza swali anaipata pekee yake la hasha.
Niwengi humu tunajifunza mabo mengi kupitia wengine ndugu