Naomba kujua utaratibu wa kurekebisha jina la NIDA

Naomba kujua utaratibu wa kurekebisha jina la NIDA

Mabiba

Member
Joined
Aug 24, 2022
Posts
7
Reaction score
0
Wakuu samahani, naomba kujua utaratibu wa namna ya kurekebisha jina NIDA, jina langu lilikosewa herufi moja wakati wa kujisajili NIDA badala ya FILIBERT wakaandika FILIBETH hivyo linatofautiana kwenye vyeti.

MSAADA TAFADHALI, NI HATUA GANI ZA KUFUATA
 
Wakuu samahani naomba kujua utaratibu wa namna ya kurekebisha jina NIDA, jina langu lilikosewa herufi moja wakatai wa kujisajili NIDA baapa ya FILIBERT wakaandika FILIBETH hivyo linatofautiana kwenye vyeti.

MSAADA TAFADHARI NI HATUA GANI ZA KUFUATA
Tafuta Mwanasheria tu akupe Affidavit au Deed poll
 
Tafuta ofisi ya wakili naamini utapata Msaada mzuri nawa uhakika zaidi
 
Namimi jina limekosewa nawazaga

Kwahio ukifanya hivyo NIDA wanakupa ID nyengine ya jina sahihi
Sina uhakika na kadi maana nilikokuwa nimeomba mabadiliko nilitoka ila kwenye majina inaonekana yamebadilika.
 
Code:
FB_IMG_1686554884567.jpg
 
Akishapata affidavit anaenda NIDA unalipia elfu 20 na mchakato wa kukubadilishia unaanza.
Asante japo mimi jina lilikosewa wanafanyakazi wa NIDA wakati wa kuingiza taarifa, na alichanganya herufi moja badala ya r akaandika h
 
Back
Top Bottom