Naomba kujua utofauti uliopo kati ya gari "manual" na "automatic" kifaida na kihasara. Na pia naomba kujua kiundani kidogo dondoo za RAV 4 manual

Naomba kujua utofauti uliopo kati ya gari "manual" na "automatic" kifaida na kihasara. Na pia naomba kujua kiundani kidogo dondoo za RAV 4 manual

Manual inaboa sana Barbara zetu hizi za foleni kali kama Dar

Ila barabara kama haina foleni sana ni fresh sana, automatic ni chaguo bora zaidi kwa RAV 4 sababu ya kusevu mafuta kwenye foleni ukilinganisha na manual.

Kiundani, RAV 4 manual inatumia mafuta vizuri sana na inadumu sana. Vifaa vyake vinapatikana kwa urahisi. Wengine watajazia...
Umesoma ulichoandika?
 
Umetoka lini UK mkuu?? Now most of their Car ni Auto hata zile Land Rover zipo za kisasa zaidi, Manual UK ziko chache sana sio kwa uwingi huo unaousema hapa, i've been there miezi michache nyuma hapa. Nimeendesha sana AUDI, CHEVO, na hizo Land Rover zote nilikuta AUTO. itakuwa ulikwenda enzi ambapo Mjomba Magu anapiga MASTERS.
Chai
 
Manual kwenye foleni mbona raha sana.
Unaweka free, unapachika handbreak, unatulia.
Foleni inasogea, namba moja pap! Unatoa hand break, mambo yanakwenda! Safi Sanaa!!
 
Mambo yanabadilika nadhani siku za karibuni gari manual zitaacha kuzalishwa.

Kama kwenye trucks (gari kubwa) wanaleta auto basi muda si mrefu manual zitapotea kabisa.
 
Adavantage za manual.
*Ni economy kwenye mafuta
*Ikiaribika inatengenezeka
*Watumiaji ni wachache so gari haiazimwi ovyo.
*service yake sio ya gharama sana
*Betri ikizingua unasukumwa chuma inawaka.
*Unaweza ukaendesha umbali mdogo ukiwa umemaliza gia zote ata kama ni mwendo wa taratibu au mkali

Automatic
*Raisi kuendesha
*Ni nzuri kwa mijini barabara zenye jam
*Rahisi kuuzika kama ukitaka kuiuza
Nimekusoma mkuu, santi sana.
 
Manual gearbox unaongoza mwenyewe gari iwe kwenye gia ipi..!

Automatic gearbox gari inaangalia gia kutokana mazingira na range uliyoipa..!

Faida zake.. Kama wadau walivyosema huko juu..
Bei ya gari mpya Manual inakuwa ndogo kuliko Automatic..
Manual utasave mafuta..
Manual ni fun kuendesha..
Manual gari battery low unaisukuma inawaka..
Manual gearbox itaishi muda mrefu zaidi..
Ukitaka kufungua driving school utahitaji gari manual..

Manual ni gari za car enthusiasts..! Unakuwa na full control ya gari..!

Technology inabadilika.. Hata manual cars zimebadilika.. Zamani 4-speed sasa hivi kuna 7-speed..!
 
Umetoka lini UK mkuu?? Now most of their Car ni Auto hata zile Land Rover zipo za kisasa zaidi, Manual UK ziko chache sana sio kwa uwingi huo unaousema hapa, i've been there miezi michache nyuma hapa. Nimeendesha sana AUDI, CHEVO, na hizo Land Rover zote nilikuta AUTO. itakuwa ulikwenda enzi ambapo Mjomba Magu anapiga MASTERS.

Nlikua mitaa ya watu wa hali za kawaida na kishua a town closer to london (45 minutes from London, kote napajua) na gari walizokua wanatumia wengine za kawaida and Yes they were manual na wengi hupendelea manual sijasema mahala popote automatic hazikuwepo zipo nyingi ila i was suprised baadhi ya watu still kupenda kutumia manual kwa nchi iliyo endelea kama ile.

Nimekaa miaka 4 kule nikipiga kitabu less than 8 years ago.
 
Kwa jinsi ulivyosema ni kama hizi AUTO kwao si lolote ndio maana nikakuuliza hivyo mkuu.
Hapo umeweka sawa, kwamba bado kuna watu wanazipenda.
 
Kama hautaki kutoa gari si unamwambia tu mtu kwamba mimi hua siazimishi mtu gari mzee...akikumaindi achukue time yake...
Yes, unamnyookea tu mtu moja kwa moja.

Sio unampatia mtu kisha unabaki kusemasema pembeni.

Binafsi huwa sipendagi kuazima vitu vya watu (vice versa is true).

JESUS IS LORD!
 
Ndo ukweli.wenzetu wanaotengeneza hivi vyombo walishatoka kwenye dunia ya kutumia nguvu kama ufahari,siku hizi vitu ni soft,unabonyeza tu ngoma inatembea,nguvu kidogo akili nyingi.Uku afrika ndo bado tunawaza ujinga wakati hakuna ata gear box moja tuliyotengeneza.Hatutaki kukimbizana na mabadiliko ya teknolojia.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwa hio Australia na kwenyewe Ni Africa sio?
 
Back
Top Bottom