wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
Umesoma ulichoandika?Manual inaboa sana Barbara zetu hizi za foleni kali kama Dar
Ila barabara kama haina foleni sana ni fresh sana, automatic ni chaguo bora zaidi kwa RAV 4 sababu ya kusevu mafuta kwenye foleni ukilinganisha na manual.
Kiundani, RAV 4 manual inatumia mafuta vizuri sana na inadumu sana. Vifaa vyake vinapatikana kwa urahisi. Wengine watajazia...
ChaiUmetoka lini UK mkuu?? Now most of their Car ni Auto hata zile Land Rover zipo za kisasa zaidi, Manual UK ziko chache sana sio kwa uwingi huo unaousema hapa, i've been there miezi michache nyuma hapa. Nimeendesha sana AUDI, CHEVO, na hizo Land Rover zote nilikuta AUTO. itakuwa ulikwenda enzi ambapo Mjomba Magu anapiga MASTERS.
Manual kwenye foleni mbona raha sana.Manual inaboa sana Barbara zetu hizi za foleni kali kama Dar
Ila barabara kama haina foleni sana ni fresh sana, automatic ni chaguo bora zaidi kwa RAV 4 sababu ya kusevu mafuta kwenye foleni ukilinganisha na manual.
Kiundani, RAV 4 manual inatumia mafuta vizuri sana na inadumu sana. Vifaa vyake vinapatikana kwa urahisi. Wengine watajazia...
Ya moto mkuu.Chai
Nimekusoma mkuu, santi sana.Adavantage za manual.
*Ni economy kwenye mafuta
*Ikiaribika inatengenezeka
*Watumiaji ni wachache so gari haiazimwi ovyo.
*service yake sio ya gharama sana
*Betri ikizingua unasukumwa chuma inawaka.
*Unaweza ukaendesha umbali mdogo ukiwa umemaliza gia zote ata kama ni mwendo wa taratibu au mkali
Automatic
*Raisi kuendesha
*Ni nzuri kwa mijini barabara zenye jam
*Rahisi kuuzika kama ukitaka kuiuza
Zipo nyingi tuu acha kudanganya Land Cruiser LX yenye Engine ya 1VD ni manual mkuuMkuu unajisifia umasikini?? Watu wametoka huko miaka mingi. Hakuna gari imetoka miaka ya karibuni wakaweka MANUAL.
Hata wanawake wa ulaya hawapendi ugolikipa, mkienda auti unatoa anatoa kama haitaki basi kila mtu ajinunulie chake!Sababu ni kuwa Ulaya wana vigezo vyao kwa kila bidhaa wanayoiagiza toka nje ya Ulaya, kwa hiyo siyo tu RAV 4 au magari hata TV, simu, chakula n.k.
Umetoka lini UK mkuu?? Now most of their Car ni Auto hata zile Land Rover zipo za kisasa zaidi, Manual UK ziko chache sana sio kwa uwingi huo unaousema hapa, i've been there miezi michache nyuma hapa. Nimeendesha sana AUDI, CHEVO, na hizo Land Rover zote nilikuta AUTO. itakuwa ulikwenda enzi ambapo Mjomba Magu anapiga MASTERS.
Kwa jinsi ulivyosema ni kama hizi AUTO kwao si lolote ndio maana nikakuuliza hivyo mkuu.Nlikua mitaa ya watu wa hali za kawaida na kishua a town closer to london (45 minutes from London, kote napajua) na gari walizokua wanatumia wengine za kawaida and Yes they were manual na wengi hupendelea manual sijasema mahala popote automatic hazikuwepo zipo nyingi ila i was suprised baadhi ya watu still kupenda kutumia manual kwa nchi iliyo endelea kama ile.
Nimekaa miaka 4 kule nikipiga kitabu less than 8 years ago.
Kama hautaki kutoa gari si unamwambia tu mtu kwamba mimi hua siazimishi mtu gari mzee...akikumaindi achukue time yake...Mie manual inanisaidia kwanza kuniepusha na lawama za kuazimana azimana magari hovyo mtu hana hata safari ya muhimu anaazima gari.[emoji23]
Yes, unamnyookea tu mtu moja kwa moja.Kama hautaki kutoa gari si unamwambia tu mtu kwamba mimi hua siazimishi mtu gari mzee...akikumaindi achukue time yake...
Kitaalamu manual inatumia mafuta kidogo kuliko automatic. Mifumo ya automatic yote ni umeme na ili vyote vitende kazi vizuri mafuta yanatumika zaidi.Mimi si mtaalamu wa magari, lakini kufikia hapa, hakuna mwanajamvi aliyekata kiu cha mtoa hoja.
Ni nini tofauti ya msingi ya ubora kati ya Auto na manual?
Manual na automatic yote Ni magari ya wanawake tu.Mjanja Ni yule anae endesha Gari aliyotengeneza mwenyewe home kwake.Automatic ni magari ya kuendesha wanawake.
Kwa hio Australia na kwenyewe Ni Africa sio?Ndo ukweli.wenzetu wanaotengeneza hivi vyombo walishatoka kwenye dunia ya kutumia nguvu kama ufahari,siku hizi vitu ni soft,unabonyeza tu ngoma inatembea,nguvu kidogo akili nyingi.Uku afrika ndo bado tunawaza ujinga wakati hakuna ata gear box moja tuliyotengeneza.Hatutaki kukimbizana na mabadiliko ya teknolojia.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Vipi ukitengeneza automatic utakuwaje?Manual na automatic yote Ni magari ya wanawake tu.Mjanja Ni yule anae endesha Gari aliyotengeneza mwenyewe home kwake.
Uongo, manual zinatengenezwa Kama kawaida ingawa Ni katika idadi ndogo kulinganisha na automatic.Mkuu unajisifia umasikini?? Watu wametoka huko miaka mingi. Hakuna gari imetoka miaka ya karibuni wakaweka MANUAL.