Nami nasubiri kwa hamu bila shaka sidhan kama wataniangusha.Jamani wana jukwaa, tupeni basi moja mbili kuhusu hivyo vigari, nyie kila siku alteza alteza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Malizia hapo "Alteza Mnyama"Jamani wana jukwaa, tupeni basi moja mbili kuhusu hivyo vigari, nyie kila siku alteza alteza
Jamani msitufanyie tufanyie hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Malizia hapo "Alteza Mnyama"
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Kaka nasikia vipo generations nyingi, nisaidie nasikia vpo vinavyobeba tani mojaKigari ambacho hakipendi shida. Kina piston tatu kama akina Passo (aka pasua). Kina beba kilo 350 lakini kibongobongo wanakibebesha zaidi. Uzito ukizidi engine inakufa...
Shida inaanzia kwenye driving ya hivi Vigari, ukishakuwa loaded accelerate very very gentle , hii husaidia kutolundika mafuta mengi kwenye cylindersKigari ambacho hakipendi shida. Kina piston tatu kama akina Passo (aka pasua). Kina beba kilo 350 lakini kibongobongo wanakibebesha zaidi. Uzito ukizidi engine inakufa...
Lugha ya kiufundi ni ngumu.Shida inaanzia kwenye driving ya hivi Vigari, ukishakuwa loaded accelerate very very gentle , hii husaidia kutolundika mafuta mengi kwenye cylinders
rich mixture husababisha liquid hammering kwenye cylinders ,na kwa kweli hzi gari zina cylinder delicate sana, zikitanuka au kupata michubuko huwa hazitulii tena
UKIWEZA kuendesha vizuri ukafatilia na service ya oil nzuri, kitadumu.
Mkuu mimi kuna mchawi wa hivi vidude namjua, huyu jamaa ni balaa, kama fundi wako kachemka nistue pm(thank me later)Kigari ambacho hakipendi shida. Kina piston tatu kama akina Passo (aka pasua). Kina beba kilo 350 lakini kibongobongo wanakibebesha zaidi. Uzito ukizidi engine inakufa. ...
Kwahyo tatizo huwa ni fundi tuMkuu mimi kuna mchawi wa hivi vidude namjua, huyu jamaa ni balaa, kama fundi wako kachemka nistue pm(thank me later)
KwannHakijawahi pita bila kusimamishwa na polisi
Hakijawahi pita bila kusimamishwa na polisi
Kwann