Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa
Mimi naomba kujua azam alitumia vigezo gan had akina wema wakapata tuzo
Je, kulikuwa na upigaj wa kula ama kulikuwa na nini
Je, wema ana filamu gan kwa sasa sokon had akapata tuzo?
Vipi kuhusu gabo naye ana filam gani mpya kwa sasa?
Na wengine weng waliopata
Je, Azam wametumia vigezo gan kuwapa tuzo washind wa tuzo zao?
Je, walikuwa wanaangalia dini ya mhusika kuwa ni muislam au mkristo ndo apate tuzo au walikuwa wanaangalia nini? Naomba kujua
LONDON BOY