moondampwani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 535
- 169
Kama ndivyo basi sio sahihi! Hapo Azam watakuwa wameingia kwenye mtego ule ule wa "wasanii wengi filamu sio zao!" Au "Wanauza hakimiliki!"
Filamu sio kama muziki kwamba ni kawaida mwanamuziki kumiliki nyimbo zake!
In most cases, filamu hazimilikiwi na waigizaji! Waigizaji pale are just Contractors! Anapewa kandarasi; anafanya kazi; analipwa chake; anasepa though kunaweza kuwa na additional incentives kama vile bonus!!
Of course, mwigizaji anaweza kuwa part ya wamiliki but not always!
Also mwigizaji anaweza kuwa ndie producer/executive producer/mmiliki wa filamu husika lakini hachukui hiyo status kwa sababu yeye ni mwigizaji!!!
Kama kigezo kilikuwa kumiliki filamu basi ingekuwa ni tuzo kwa ajili ya waandaaji wa filamu au tuzo za filamu bora!
Lakini so long as kulikuwa na vipengele kama Best Actor; then sharti la umiliki wa filamu halikuwa na maana yoyote na in fact, limewanyima waigizaji fursa!
Lupita Nyong'o alishinda Academy Award as Best Supporting Actress si kwa sababu anamiliki au angalau kuwa na share kwenye 12 Years a Slave bali kwa sababu tu aliigiza kwenye filamu husika!
I doubt ikiwa Azam walifahamu walikuwa wanatafuta nini hasa!
Vigezo vilivyo tumika kumpatia Award huyo Lupita Nyongo sio vile walivyo tumia Azam, kigezo cha kwanza cha azam kilikuwa ni umiliki wa filamu husika tena lazima iwe imesanyiliwa COSSOTA NA BASATA kigezo cha pili kura