Hahah!! Zitakuepo tuKumbe Bongo muvi bado ipo, siku nyingi sijapanda mabasi ya mikoani aise
Dogo inavoonekana kwenu hakuna kisimbuzi cha AzamAman iwe nanyi wapendwa
Mimi naomba kujua azam alitumia vigezo gan had akina wema wakapata tuzo
Je kulikuwa na upigaj wa kula ama kulikuwa na nini
Je wema ana filamu gan kwa sasa sokon had akapata tuzo?
Vp kuhusu gabo naye ana filam gan mpya kwa sasa?
Na wengine weng waliopata
je azam wametumia vigezo gan kuwapa tuzo washind wa tuzo zao?
Je walikuwa wanaangalia din ya mhusika kuwa ni muislam au mkristo ndo apate tuzo au walikuwa wanaangalia nini? Naomba kujua
LONDON BOY
Huyu ni jamaa yangu aliniomba nimpgie kura. Mashindano mengi unaweza usiyasikie au kujua pale yanapoanz ila utakuja kuyasikia yanapofikia kilele.Ulitangazwa lin na wapi na nan alipiga kura
Umeeambiwa tuzo ndio mara ya mwisho kufanyika? Au ilikuwa ni lazima apewe mwaka huu? Wanaweza wakampa hata mwakani au mwaka kesho kutwa.Kiukweli mimi ni mmoja wa watu walioshangazwa na matokeo ya tuzo hizo. Wameshindwa hata kumpa majuto tuzo ya heshima kwa mchango wake kwenye tasnia hii.
Hebu mwenye kujua vigezo vilivyotumika watujuze tuelewe wote
Nabii Mswahili huwa hata simwelewi, angechukua Ungo wa azam ningeutupaNilipoona nabii mswahili hajachukua tuzo wakati anastahili nikajua zile tuzo zimeandaliwa na kigenge flani cha wahuni toka azam
Unatumia king'amuzi gani? Tuanzie kwanza hapoUlitangazwa lin na wapi na nan alipiga kura
Majuto wampe kwa jipya lipi?... TUZO ZA HURUMA siku hizi hamna.Kiukweli mimi ni mmoja wa watu walioshangazwa na matokeo ya tuzo hizo. Wameshindwa hata kumpa majuto tuzo ya heshima kwa mchango wake kwenye tasnia hii.
Hebu mwenye kujua vigezo vilivyotumika watujuze tuelewe wote