Naomba kujua vigezo walivyotumia AZAM MEDIA kugawa tuzo kwa watu hawa

Pumbav kipindi wanatangaza kupiga kura ulikuwa wapi? Wajinga wamezoea kulalama tu
 
Ulitangazwa lin na wapi na nan alipiga kura
Mbona wametangaza sanaaa na Lulu alikua balozi wao na walisema leteni hata movie za zamani na before kulikua na semina mbalimbali za wasanii
 
Be
Beira andika vizuri kula nini kwani nawe una tatizo la l na r kutofautisha?
 
Mkuu walikuwa wanatangaza kwenye TV na ni kwa kupiga kura, kama huna Azam TV huwezi jua.

Ila tatizo tunafuatilia sana wakorea ndyo maana hatujui kinachoendelea bongo movie, kwa sababu bongo movie wanazingua sana
wapeane tu filamu zenyewe hata moja siijui tangu afe kanumba sijawahi kuangalia filam zao
 
Nilipoona nabii mswahili hajachukua tuzo wakati anastahili nikajua zile tuzo zimeandaliwa na kigenge flani cha wahuni toka azam

Moja vigezo vikubwa walivyo tumia umiliki wa hiyo filamu wengi hawajaajili filamu zao fatilieni kwanza acheni kulalamika
 
Nilipoona nabii mswahili hajachukua tuzo wakati anastahili nikajua zile tuzo zimeandaliwa na kigenge flani cha wahuni toka azam
tatizo ni kwamba mmezoea porojo za siasa katika filamu, udaku udaku na ushambenga ushambenga na uhuni uhuni na majungu majungu ...mnataka sura zile zile na watu wale wale wengine hata hawaekti ni full maonesho tu instagram...kuna msanii anapiga kazi kama gabo? ingekua mimi ningempa tuzo zote gabo mana anastahili, sio wengine uchwara wanakuja kulalamika kwenye media hamna cha maana wanachofanya wakikosa tuzo ndo wanaibuka eti kulalmika ndo mana hata sishangai mikataba ya kibiashara wanapewa waganda
 
Tuzo zilizingatia sana post za Instagram, sasa Wema kaonyesha msambwanda unataka asipewe?
 
Kama ulikuwa huangalii [HASHTAG]#Sinema[/HASHTAG] zetu# huwezi kujua lakini kiukweli wakati hilo tamasha linaanza basi vigezo vyote viliwekwa wazi.
 
bongo kila kitu ni deal kama mkali w rhymes..
 
Moja vigezo vikubwa walivyo tumia umiliki wa hiyo filamu wengi hawajaajili filamu zao fatilieni kwanza acheni kulalamika
Kama ndivyo basi sio sahihi! Hapo Azam watakuwa wameingia kwenye mtego ule ule wa "wasanii wengi filamu sio zao!" Au "Wanauza hakimiliki!"

Filamu sio kama muziki kwamba ni kawaida mwanamuziki kumiliki nyimbo zake!

In most cases, filamu hazimilikiwi na waigizaji! Waigizaji pale are just Contractors! Anapewa kandarasi; anafanya kazi; analipwa chake; anasepa though kunaweza kuwa na additional incentives kama vile bonus!!

Of course, mwigizaji anaweza kuwa part ya wamiliki but not always!

Also mwigizaji anaweza kuwa ndie producer/executive producer/mmiliki wa filamu husika lakini hachukui hiyo status kwa sababu yeye ni mwigizaji!!!

Kama kigezo kilikuwa kumiliki filamu basi ingekuwa ni tuzo kwa ajili ya waandaaji wa filamu au tuzo za filamu bora!

Lakini so long as kulikuwa na vipengele kama Best Actor; then sharti la umiliki wa filamu halikuwa na maana yoyote na in fact, limewanyima waigizaji fursa!

Lupita Nyong'o alishinda Academy Award as Best Supporting Actress si kwa sababu anamiliki au angalau kuwa na share kwenye 12 Years a Slave bali kwa sababu tu aliigiza kwenye filamu husika!

I doubt ikiwa Azam walifahamu walikuwa wanatafuta nini hasa!
 
Azam ni wapuuz sana
 
Tutaendelea kuwaelimisha tu hata kma vichwa vyenu vimejaa Funza kichwani. Kila Shindano au Tuzo zina Utaratibu, Masharti na Vigezo Kuzingatiwa. Kigezo kilichowafanya hao unawalalamikia ni kwamba Wanamiliki Filamu zao wenyewe na Si za Mdosi wa Steps. Pili kulikua na mchakato wa Kupiga Kura, kama kawaida yenu watanzania hampendagi kupiga kura mwisho wa Siku mtu akishinda mnakuja mapovu, Tuzo hizi hazikua za Huruma kama mlivyozoea. Filamu aliyonayo Gabo na Wema ni "Heavens Sent" na Wemaeshinda Kupitia vipengele viwili katika filamu hiyohiyo. Gabo si Muuza Sura kama ulivyozoea kuwaona hao uliyotaka washinde. Kwahiyo rudi kawambie waliyokutuma kuja hapa kutoa Ujinga Ujinga kua Lile si Shindano la Lundenga, au Bongo star search.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…