Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vitabu vya kubuni juu ya mambo/ uwezo wa sayansi. Mfano kimoja kilisimulia habari ya mtu mmoja mzee tajiri aliyeona mwili umechoka akachukua akili yake na kuipachika kwenye mwili wa kijana na yule kijana kupewa mwili wa kizee. Zingine zinazungumzia ndege/meli zinazoweza kusafiri kwenye sayari za mbali.Science fiction maana yake Nini? Tuseme Ni porojo za kisayansi?ni stori au muvi za Aina gani nielezee kidogo mwanangu