Naomba kujua waungwana

Naomba kujua waungwana

KPClassic

Senior Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
103
Reaction score
27
:baby: Hivi mwalimu anatakiwa akae kazini miaka mingapi ndo apate ruhusa ya kwenda masomoni kujiendeleza?Kwa sababu mimi nina miaka miwili na huu ni wa tatu lakini haujakamilika kazini,nimethibitishwa na nina TSD no tayar,ila naenda halmashauri wananikatalia na nimechaguliwa chuo kimojawapo hapa nchini mwaka huu.:baby:
 
unatakiwa ukae miaka miwili tu,,we komaa nao watukurelease tu,,
 
Back
Top Bottom