Naomba kujua wilaya inayoongoza kwenye kilimo cha zao la mahindi katika mkoa wa Morogoro

Naomba kujua wilaya inayoongoza kwenye kilimo cha zao la mahindi katika mkoa wa Morogoro

Mahindi, Maharage na Alizeti yanastawi sehemu yoyote ile duniani iwe kwenye joto au baridi kikubwa kuwe na mvua za kutosha tu
 
Kumbuka kutumia mbolea hata kama utalima Ruvuma.
Ila kama ungekuwa unataka kuwekeza kwenye Kilimo cha Mahindi ungeangalia nje ya Morogoro Mkuu. Ukilima Mkoa wa Ruvuma, Sumbawanga au Songwe utavuna marambili ya kile utakachopata Moro. Hongera kwa kuangazia Kilimo mkuu
 
Wilaya za Mvomero, Gairo na Kilosa kidogo.

Ahsante sana Mkuu wangu. Naomba kuuliza tena,Mvomero ni sehemu gani kunakopatikana mashamba makubwa ya kukodisha? Naomba unitajie kwa majina kwamfano kijiji,kata au hata tarafa ili siku nikifika pale Mvomero nijue pakuelekea moja kwa moja.
 
Ila kama ungekuwa unataka kuwekeza kwenye Kilimo cha Mahindi ungeangalia nje ya Morogoro Mkuu. Ukilima Mkoa wa Ruvuma, Sumbawanga au Songwe utavuna marambili ya kile utakachopata Moro. Hongera kwa kuangazia Kilimo mkuu
Ahsante sana Mkuu
 
Nenda Turiani, vijiji kama Mziha, Kanga, Kibati etc

Ila wilaya inayoongoza kwa kilimo cha mahindi ni Gairo.
 
Naomba msaada nipo morogoro mjini, ni maeneo gani yaliyo karibu naweza kupata shamba kwaajili ya kulima mahindi kwa umwagiliaji?
 
Ila kama ungekuwa unataka kuwekeza kwenye Kilimo cha Mahindi ungeangalia nje ya Morogoro Mkuu. Ukilima Mkoa wa Ruvuma, Sumbawanga au Songwe utavuna marambili ya kile utakachopata Moro. Hongera kwa kuangazia Kilimo mkuu
Hapa kwenye ushauri wako naona kama kunakitu hakipo sawa,kikubwa ni kanuni bora za kilimo,kama utatumia mbolea kama wafanyavyo mikoa ulioitaja,hata akilimia Tanga atapata maradufu kwani hii ndio utofauti wa kilimo uliopo Kati ya nyanda za juu kusini na maeneo mingine.Maeneo mengi ya nchi hawatumii mbolea wakidai ardhi yao bado iko vizuri jambo ambalo si kweli.

Kilimo zingatia mbolea,palizi,piga dawa kwa wakati kama kunawadudu waharibifu.Kama mvua itanyesha vizuri kwa Tanzania hii hali ya hewa ya maeneo mengi iko vizuri kwa kilimo cha mahindi.
 
Mkuu kwa kuongezea pia wilaya ya kilindi na handeni tanga.pia kuna kiteto mkoa wa manyara na pia kongwa dodoma.nimeenda nje ya swali lako lakini nimekutajia maeneo hayo kwa sababu yamepakana na morogoro.
 
Back
Top Bottom