Ungeenda National Statistics Bureau utapata jibu sahihi, vinginevyo itakuwa ni majibu ya mtaani
Wakuu naomba kujua wilaya gani ni nzuri zaidi kwenye kilimo cha zao la mahindi katika mkoa wa Morogoro?