naomba kujua za athari za kubwia ugolo!

Craig

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
1,512
Reaction score
2,712
habari? wanajf. naomba kujua athari zitakazo mpata huyu mdogo wangu anyebwia ugolo kwa fujo. yaani imekuwa kama dawa. nimdogo wangu mmoja ninayeishi naye. alianza kwa kunusa puani kama akina babayeyoo. lakini kwa sasa anauweka mdomoni kama kuber. mimi ninogopa sana kwani nahisi una madhara. naomba wana jf mniambie kisayansi. huo mchanganyiko wa magadi na tumbaku una athari gani?
 
Mkuu naona wamekususa, ila nataka kukufahamisha kuwa kubwia ugoro unaweza ukasababisha saratani ya kinywa na matatizo sugu ya fizi na harufu mbaya mdomoni (halitosis)
 
Asante kwa taarifa umenifumbua macho na mimi nina ndugu yangu amekua kama mmasai ni ugoro kila saa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…