Craig
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 1,512
- 2,712
habari? wanajf. naomba kujua athari zitakazo mpata huyu mdogo wangu anyebwia ugolo kwa fujo. yaani imekuwa kama dawa. nimdogo wangu mmoja ninayeishi naye. alianza kwa kunusa puani kama akina babayeyoo. lakini kwa sasa anauweka mdomoni kama kuber. mimi ninogopa sana kwani nahisi una madhara. naomba wana jf mniambie kisayansi. huo mchanganyiko wa magadi na tumbaku una athari gani?