Naomba kujua zaidi biashara ya mpunga

pakapori

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
536
Reaction score
626
Habari za wakati huu, naimani ni wazima bukheri wa afya na mungu anaendelea kutupigania kila iitwapo leo.

Niende kwenye mada moja kwa moja. Binafsi nimekuwa na mpango mkakati kwa muda sasa kuhusiana na kipindi hiki cha mavuno.

Nia na dhumuni ni kutaka kuingia kwenye soko la mavuno hususani mpunga yaani kwenda kununua mazao kwa wakulima moja kwa moja.

Kwa yeyote anaejua mpunga mzuri unapopatikana, bei ya mpunga, changamoto zilizopo. Mtaji mzuri ni kuanzia kiasi gani cha fedha.

Kwa kifupi nahitaji mwanga juu ya hii biashara, kwa yeyote mwenye ufahamu au muhusika wa hii biashara naomba muongozo tafadhali na ikiwezekana tuwasiliane PM kabla sijachelewa.
Ahsanteni..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…