Nimekupata chief ila hilux ile ya zamani 3l iko vzr kidogo kwenye toughness.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu ile Gauge 32 kiasi kwamba hata ukipiga ngumu lazima uende garage[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bati la gauge ngapi mkuu? Hii rough roads haitufai hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Funga injini ya 2L-T. Hii ni injini za 2L zilizoboreshwa kwa kuwekewa turbo hii utapata ya mtumba kutoka Dubai au South Africa.Naomba kuuliza hapa na mie...
Hilux Double Cabin 2.8l inaweza funga engine gani ukitaka kufanya modification? Nilishatumia 2.8L na 3L engines... kwa sababu engine zote hizo zimekufa ninawaza kupata engine nyingine tough, fuel economy na yenye mwendo...ushauri plz....ninunue engine ipi??
Funga injini ya 2L-T. Hii ni injini za 2L zilizoboreshwa kwa kuwekewa turbo hii utapata ya mtumba kutoka Dubai au South Africa.
Pia unaweza kufunga 1KZ au 1KD kama mfuko wako upo vizuri.
Wakuu habari za mihangaiko ya hapa na pale, Naomba kupata ufafanuzi kidogo kati ya gari hizo tajwa hapo juu katika vipengele vifuatavyo:
1. Uimara wake rough road
2. Upatikanaji wa vipuri
3. Kuhimili safari ndefu kuanzia km 1500
4. Comfortability kwenye rami na rough roads
5. Service
Naomba kuwasilisha wakuu kwa kujipa elimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinataka 'handle with care' tofauti na ToyotaNissan Hardbody ni gari nzuri.. Hilux pia ni gari nzuri.
Achana ni Nisan opt for that Toyota hutajuta
Jr[emoji769]
Gari zote ziko vzuri na Wadau wamekupa majibu mujarabu kabisa. Lkn cha kuzingatia hapo hizo Nissan tatizo kubwa linakuja kwenye Mfumo wake wa Mafuta yaani Nozzle na Pump zake zimekuwa mtihani sana zikianza kusumbua maana zinapatikana kwa bei juu.
Kwa Hilux Vigggo iko vizuri sana kuanzia Speed, fuel economy na uimara wa injini, tatizo tu ile gari haina Body yaani ni bati la Gauge 32 pale ALAF ndio naliona kwenye ile gari
Kuna TOYOTA HILUX ambayo kwa nyuma imeandikwa SRS. Tofauti Ni nini.Gari zote ziko vzuri na Wadau wamekupa majibu mujarabu kabisa. Lkn cha kuzingatia hapo hizo Nissan tatizo kubwa linakuja kwenye Mfumo wake wa Mafuta yaani Nozzle na Pump zake zimekuwa mtihani sana zikianza kusumbua maana zinapatikana kwa bei juu.
Kwa Hilux Vigggo iko vizuri sana kuanzia Speed, fuel economy na uimara wa injini, tatizo tu ile gari haina Body yaani ni bati la Gauge 32 pale ALAF ndio naliona kwenye ile gari
Pata toleo la ulaya au middle east hutajuta...pata toleo la south kwa ajili ya Tanzania utazichukia hizo gari...kama utakubali ushauri chukua hilux double cabinWakuu habari za mihangaiko ya hapa na pale, Naomba kupata ufafanuzi kidogo kati ya gari hizo tajwa hapo juu katika vipengele vifuatavyo:
1. Uimara wake rough road
2. Upatikanaji wa vipuri
3. Kuhimili safari ndefu kuanzia km 1500
4. Comfortability kwenye rami na rough roads
5. Service
Naomba kuwasilisha wakuu kwa kujipa elimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana sijakuelewa za SA zina matatizo gani Mkuu na pia mbona ndio nyingi tunatumia huko hizo muda mrefu sioni matatizo yake hivi mnaongea mmefanya tafiti kweli auPata toleo la ulaya au middle east hutajuta...pata toleo la south kwa ajili ya Tanzania utazichukia hizo gari...kama utakubali ushauri chukua hilux double cabin
Nasubiri majibu ya mdau niweze kujua ubaya wa magari ya SA.Mshana sijakuelewa za SA zina matatizo gani Mkuu na pia mbona ndio nyingi tunatumia huko hizo muda mrefu sioni matatizo yake hivi mnaongea mmefanya tafiti kweli au
Mimi niliwahi leta auto Honda ballade mwaka 2000 kwani kuna mtu aliitaka walikua wanasema auto gear sio nzuri nikaishia kumwachia uncle angu mpaka kesho anatumia hiyo gari baadae wakaanza kumsumbua awauzie baada ya kuingia hizo auto nyingi bongo...Nina Ford bantam na hiyo Toyota toka 2012 zinapiga kazi mno Tanzania hapa nipo na Nissan hard body maana bei zao huku ni cheap tuu na gari kweli ukiona mtu anaikosoa D4D engine jua ajaifanyia tafiti kasikia tuu...Nasubiri majibu ya mdau niweze kujua ubaya wa magari ya SA.
Nina uhakika na ninachokiongea chuo kikuu walinunua kama 50 hivi miaka kama 15 iliyopita , zilikufa moja baadabya nyingineMshana sijakuelewa za SA zina matatizo gani Mkuu na pia mbona ndio nyingi tunatumia huko hizo muda mrefu sioni matatizo yake hivi mnaongea mmefanya tafiti kweli au
Nilidhani unasema Toyota ndio maana nikataka kushangaa na pia Nissan sijui Kama zina matatizo makubwa unayoyaongelea na Mara nyingi magari ya mashirika huwa kwenye service inakua ni kikwazo kwao yaani unakuta wanajidalalia gari zao na pia inakuaje gari hiyo hiyo niwe nayo Mimi ninadumu nayo na naipa kazi za kutosha wakati chuo wameferi hapo Arusha wachina na kampuni moja wanapendelea sana Nissan kwa ajili ya kuwakodisha kwa kazi zao na wanalipa kwa mwezi bila matatizo yeyote ili mradi gari iwe nzima tuu...Nina uhakika na ninachokiongea chuo kikuu walinunua kama 50 hivi miaka kama 15 iliyopita , zilikufa moja baadabya nyingine
Ni rahisi kukuta hilux double cabin namba A lakini sio hard body za South
Mashirika kibao yameachana nazo kabisa na kwenye minada hazina soko
Kumbuka hapa tunaongelea Nissan hardbody na Mimi nimezungumzia toleo la South AfrikaNilidhani unasema Toyota ndio maana nikataka kushangaa na pia Nissan sijui Kama zina matatizo makubwa unayoyaongelea na Mara nyingi magari ya mashirika huwa kwenye service inakua ni kikwazo kwao yaani unakuta wanajidalalia gari zao na pia inakuaje gari hiyo hiyo niwe nayo Mimi ninadumu nayo na naipa kazi za kutosha wakati chuo wameferi hapo Arusha wachina na kampuni moja wanapendelea sana Nissan kwa ajili ya kuwakodisha kwa kazi zao na wanalipa kwa mwezi bila matatizo yeyote ili mradi gari iwe nzima tuu...
Kumbuka hapa tunaongelea Nissan hardbody na Mimi nimezungumzia toleo la South AAfrrica
Mimi natoa hapa gari na zipo huko zinapiga kazi kwa wachina moja ipo kwenye kampuni ya mnara na ingine kwa wachina hazina matatizo yeyote Nissan Hard body double cabin...na wachina wanahitaji nyingine piaKumbuka hapa tunaongelea Nissan hardbody na Mimi nimezungumzia toleo la South Afrika
Mimi natoa hapa gari na zipo huko zinapiga kazi kwa wachina moja ipo kwenye kampuni ya mnara na ingine kwa wachina hazina matatizo yeyote Nissan Hard body double cabin...na wachina wanahitaji nyingine pia
Mkuu nambie bei ya hiyo Nissan hilux hapo SA nijilipue kwa shughuri zangu za shamba.Mimi niliwahi leta auto Honda ballade mwaka 2000 kwani kuna mtu aliitaka walikua wanasema auto gear sio nzuri nikaishia kumwachia uncle angu mpaka kesho anatumia hiyo gari baadae wakaanza kumsumbua awauzie baada ya kuingia hizo auto nyingi bongo...Nina Ford bantam na hiyo Toyota toka 2012 zinapiga kazi mno Tanzania hapa nipo na Nissan hard body maana bei zao huku ni cheap tuu na gari kweli ukiona mtu anaikosoa D4D engine jua ajaifanyia tafiti kasikia tuu...