Ok Mkuu ngoja niitafute nijue bei yake ntakujulisha nimekutana sana na 2KD ila hiyo moja ipo pia..
Mkuu kama nilivokudokeza kuwa ni engine nayotaka kufunga kwy Toyota Hilux 2.8 Double Cabin ambayo originally ilikuwa na engine ya 2.8L
Mie nilipoinunua nilifunga 3L ambayo nilununua pale Shauri Moyo ila ilikufa haraka sana kwa kunock.
So nataka hizi KD series ambazo nasikia zinaperform vizuri kuliko 2.8L au 3L au 5L
Je hii 1KD-FTV ndo huitwa D-4D??????
Pia about 1KD vs 2KD huenda 1KD ikanywa mafuta sana kuliko 2KD japo inaonekana 2KD inapungukiwa power ukilinganisha na 1KD... hivo nadhani 1KD inaweza kuwa nzuri zaidi ya 2KD... au unashauri vipi???
Some details kutoka kwa net...
1KD-FTV: The 1KD-FTV is a 3.0L (2982cc) straight-4 common rail diesel engine with a variable geometry turbocharger and Intercooler. It has 16 valves and a DOHC (double overhead camshaft) design. Bore is 96 mm and stroke is 103 mm. It generates 170 hp (127 kW) at 3400 rpm, and 260 lbf·ft (352 N·m) of torque at 1800-3400 rpm.2KD-FTV:
Compression : 17.9:1
Bore and stroke is (96mmx103mm)
The 2KD-FTV is the 2nd generation of the KD series of engine with a smaller 2.5 L (2494 cc) displacement. Bore remains the same 92 mm but stroke is increased to 93.8 mm. It has 16 valves and is a DOHC engine with a turbocharger and intercooler. It produces 101 horsepower (75 kW) at 3400 rpm and 191.7 lb·ft (260 N·m) of torque at 1600-3600 rpm without an intercooler and 118 hp (88 kW) at 3400 rpm and 239.85 ft·lbf (325 N·m) of torque at 1600-3600 rpm for the intercooled version.
Compression ratio is 18.5:1.
Bore is same but stroke is increased to 93.8mm
The only major changes from the 1KD-FTV to the 2KD-FTV was the bore and the stroke.
Asante.