NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,952
- 1,181
Kigari gani ulifananisha nachoM
Juzi nimedrive hiyo foresta ya CC 1900 nakibaliana na wewe kabisa kwanza ile pipe inapuliza na inachanganya mapema kwa kifupi nilijifananisha na kigari changu nikaona kumbe naendesha gari la kawaida sana
Sio 40 baba hata 60 kabisaKama hili dude linaenda kilometa 19 kwa lita moja bas ist itaenda kilometa 40 kwa lita moja
Mkuu gari ni carina T.iKigari gani ulifananisha nacho
Usikalili na naki-baby walker chako, engene techn ya sasa inaweza saidia pia ulaji wa mafuta uwe mzuri as long as engene ni kubwa 2500+Kama hili dude linaenda kilometa 19 kwa lita moja bas ist itaenda kilometa 40 kwa lita moja
Najichanga mdogomdogo niuze carina yangu nichukue kati ya athletes au foresta lakini bado naumiza kichwa kwa SAFARI za mbali bora nichukue foresta kwaajili ya rough road
Mzee tufanye 100 kabisa!Sio 40 baba hata 60 kabisa
Narudia tena kama hili dude linaenda km 19 kwa lita moja basi ist na ractis zitaenda kilometa 60 kwa lita moja!Mkuu haya maelezo yako yanashawishi kuiba pesa ilimradi tumiliki hii ndinga yaani kwa kifupi umetoa mwanga wa kuijua hii ndinga..mimi nilikuwa navutiwa kwa muonekano wake kumbe ina mambo mengi ya ziada nisiyoyajua!!!!
Asante kwa maelezo ila vipi kuhusu spare part si za ghali sana?
hahahaaaa....umenifanya nicheke kwa sauti mkuu. Hata mm siamini hiyo sifa ya km18 kwa lita moja kwa sifa zilizotajwa!Kama hili dude linaenda kilometa 19 kwa lita moja bas ist itaenda kilometa 40 kwa lita moja
Dude linaitwa majesta huko sijui jini gani cc zaidi ya 4000 halafu eti km19 kwa litre moja ya petrolihahahaaaa....umenifanya nicheke kwa sauti mkuu. Hata mm siamini hiyo sifa ya km18 kwa lita moja kwa sifa zilizotajwa!
spare parts hapo ndipo wajapani wanapotupigaga napo....huchelewi kuambiwa shock-up laki nane...Mkuu haya maelezo yako yanashawishi kuiba pesa ilimradi tumiliki hii ndinga yaani kwa kifupi umetoa mwanga wa kuijua hii ndinga..mimi nilikuwa navutiwa kwa muonekano wake kumbe ina mambo mengi ya ziada nisiyoyajua!!!!
Asante kwa maelezo ila vipi kuhusu spare part si za ghali sana?
Kwa hesabu hizo basi Terios KID itaenda 200km per 1ltNarudia tena kama hili dude linaenda km 19 kwa lita moja basi ist na ractis zitaenda kilometa 60 kwa lita moja!
Naunga mkono hojaNarudia tena kama hili dude linaenda km 19 kwa lita moja basi ist na ractis zitaenda kilometa 60 kwa lita moja!
Mkuu carina hiyo inabidi uniuzie mm..ukiwa tayari nambie