Naomba kujua zaidi kuhusu Toyota Crown Majesta

Naomba kujua zaidi kuhusu Toyota Crown Majesta

Kama hili dude linaenda kilometa 19 kwa lita moja bas ist itaenda kilometa 40 kwa lita moja
Usikalili na naki-baby walker chako, engene techn ya sasa inaweza saidia pia ulaji wa mafuta uwe mzuri as long as engene ni kubwa 2500+
 
LJ BLOG,
Mkuu haya maelezo yako yanashawishi kuiba pesa ilimradi tumiliki hii ndinga yaani kwa kifupi umetoa mwanga wa kuijua hii ndinga.

mimi nilikuwa navutiwa kwa muonekano wake kumbe ina mambo mengi ya ziada nisiyoyajua!!!!
Asante kwa maelezo ila vipi kuhusu spare part si za ghali sana?
 
Mkuu haya maelezo yako yanashawishi kuiba pesa ilimradi tumiliki hii ndinga yaani kwa kifupi umetoa mwanga wa kuijua hii ndinga..mimi nilikuwa navutiwa kwa muonekano wake kumbe ina mambo mengi ya ziada nisiyoyajua!!!!
Asante kwa maelezo ila vipi kuhusu spare part si za ghali sana?
Narudia tena kama hili dude linaenda km 19 kwa lita moja basi ist na ractis zitaenda kilometa 60 kwa lita moja!
 
Mkuu haya maelezo yako yanashawishi kuiba pesa ilimradi tumiliki hii ndinga yaani kwa kifupi umetoa mwanga wa kuijua hii ndinga..mimi nilikuwa navutiwa kwa muonekano wake kumbe ina mambo mengi ya ziada nisiyoyajua!!!!
Asante kwa maelezo ila vipi kuhusu spare part si za ghali sana?
spare parts hapo ndipo wajapani wanapotupigaga napo....huchelewi kuambiwa shock-up laki nane...
 
Back
Top Bottom