Naomba kujua zaidi kuhusu Toyota Crown Majesta

Hizo Lexus Ls bei zake, zimechangamka haswaa hapo ujakutana na rafiki zetu TRA. Naona zenyewe zimeondolewa hata ile limit ya 180.. zinagonga hadi 300
 
Hizo Lexus Ls bei zake, zimechangamka haswaa hapo ujakutana na rafiki zetu TRA. Naona zenyewe zimeondolewa hata ile limit ya 180.. zinagonga hadi 300
Kwa kweli msimu huu jamaa wamechangamka saana. Unawezajikuta unawaachia mzigo bandarini.
 
Kwa kweli msimu huu jamaa wamechangamka saana. Unawezajikuta unawaachia mzigo bandarini.
Kununua gari kama hiyo inabidi ujipange , uwe na pesa yote cash. Kama moja hapa nimeingilia TRA chao peke yao ni million 20 ++, gari yenyewe ni million 52 ++.. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Kwa haraka haraka hapo uwe na 100+ cash πŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈ
 
Hehehee! Sio mchezo. Ndio maana sio nyingi mtaani. Ila hayo madude ni mkataba. Very reliable.
 
Hehehee! Karibu TZS 360m kwa FOB, sipati picha balaa lake. Hilo lazima ukimbie. Kwanza kulitoa Japan tu lazima uwe vizuri balaa.
Ila mwenyewe si umeona chombo kilivyo simama πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Hapo hata mwenye li V8 kwa luxury ya ndani na mwendo akasome
 
spare parts hapo ndipo wajapani wanapotupigaga napo....huchelewi kuambiwa shock-up laki nane...
Ndio bei ya shockup za crown mkuuπŸ˜‚ wala hutakiwi kushangaa, Crown ni gari za viwango hamna shockup za kupanga mabanzi humo kama landrover au landcruiser! Humo ni mineso ya umeme mwanzo mwisho 😁😁😁
 
Ndio bei ya shockup za crown mkuu[emoji23] wala hutakiwi kushangaa, Crown ni gari za viwango hamna shockup za kupanga mabanzi humo kama landrover au landcruiser! Humo ni mineso ya umeme mwanzo mwisho [emoji16][emoji16][emoji16]

Kule kupatana.com iko majesta inauzwa 10.5mil no. C na hapo lazima itapungua tu.

Ningekua nakaa huko mkoani ningemvua huyo jamaa,shida kwa hapa Dar jini hilo halitanifaa.
 
Kule kupatana.com iko majesta inauzwa 10.5mil no. C na hapo lazima itapungua tu.

Ningekua nakaa huko mkoani ningemvua huyo jamaa,shida kwa hapa Dar jini hilo halitanifaa.
Kama unapenda amani ya moyo, usinunue gari mkononi mwa mtu hasa mmbongo, wachache sana waaminifu, na wana weza wakakuambia ukweli wa gari
 
Subiri wajerumani wa JF waje kukufokea hapa kwa hasira mzee.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wajerumani ambao gari zao ni bei sawa na Crown used, alafu wanamponda mwenzao. BMW nyingi na hizo benz used za humu bongo wala haziachani sana bei na gari za mjapan.. sema watu wananunua mjapana kwa mapenzi na kuangalia mambo yanayo weza msaidia. Anaemiliki Crown hawezi Shindwa BMW au Volkswage hata benz.. kuanzia unyonyaji wa wese, hata services
 
Kuna jamaa nilimshauri achukue Forester 2nd gen badala ya X3 1st gen akabaki ananishangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…