Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Hizo Lexus Ls bei zake, zimechangamka haswaa hapo ujakutana na rafiki zetu TRA. Naona zenyewe zimeondolewa hata ile limit ya 180.. zinagonga hadi 300Kama unapenda huo mnyama, basi chungulia na Lexus LS460. Karibu vitu vyote ulivyovitaja hapo kwenye Majesta kule kwenye LS460 vinakuwa standard.
Ila kwenye ulaji wa mafuta hapo kasome vizuri. Itakuwa umesoma MPG. Kawaida lita moja huwezi zidi km 8 kwenye 3UZ. Labda sijui uendesheje aise.
LC V8 mbona tunamsumbua vizuri tu hata na visaluni vyetu vya kawaida mkuu. Shida kwenye bumps tu ndio tunatia heshima.