Wadau wale wenye uelewa na hili mnisaidie kufaham, hivi pale unapoachishwa kazi yale malipo anayotakiwa akulipe mwajili mwenyewe huwa yanakatwa kodi? Na je yale malipo ya Sikh huchukuliwa kutoka kwenye basic salary au gross salary?
Ndio yanakatwa kodi kwa kuwa ni mapato kwako. Kwa sheria ya kodi ya mapato pato lolote unalopata linatakiwa kulipiwa kodi. Malipo ya siku ni ile basic salary yako ndio inagawanywa kujuli kwa siku ulizotumika ulipwe shs ngapi.