Naomba kujua

Naweza kuishi bacteria wa tetenus kwa miaka miwili.
Apo kwanini unataka kuishi nao kwanini usiende ukachoma sindano za anti tetenasi mkuu au mi ndo sijaelewa yaani unafurahia kuishi na bacteri Wa tetenas!
 
Apo kwanini unataka kuishi nao kwanini usiende ukachoma sindano za anti tetenasi mkuu au mi ndo sijaelewa yaani unafurahia kuishi na bacteri Wa tetenas!
Hata weye unahitaji msaada. Hiyo sindano yako haisaidii yule mdudu akiisha kuingia mwilini. Kazi ya hiyo sindano ni kutengeneza vizuia mwilini (Kinga) ya kupata huo ugonjwa.
Jibu sahihi ni kuwa; Huwezi kuishi navyo mwilini kwa miaka 2. Vitakuwa vimeshakuua ufwe fwiiii. Ikizidi saana ni siku 7 tiyari unalo jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…