Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo kwanini unataka kuishi nao kwanini usiende ukachoma sindano za anti tetenasi mkuu au mi ndo sijaelewa yaani unafurahia kuishi na bacteri Wa tetenas!Naweza kuishi bacteria wa tetenus kwa miaka miwili.
Hata weye unahitaji msaada. Hiyo sindano yako haisaidii yule mdudu akiisha kuingia mwilini. Kazi ya hiyo sindano ni kutengeneza vizuia mwilini (Kinga) ya kupata huo ugonjwa.Apo kwanini unataka kuishi nao kwanini usiende ukachoma sindano za anti tetenasi mkuu au mi ndo sijaelewa yaani unafurahia kuishi na bacteri Wa tetenas!