Naomba kujua

Naomba kujua

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,557
Reaction score
1,787
Habari wana JF,
Naomba kujua kuhusu kujiunga na Jeshi la wananchi (JWTZ), kwan ni muda kidogo sikuwepo humu jamvini.

Cha muhimu naomba kujua kama tayari nafasi zilisha tolewa au bado na kama bado ni lini wataanza kukaribisha maombi.
SHUKRANI.
 
Tulia,kuna wenzako kama 20000 nao wanazisubiri humu.
 
Back
Top Bottom