Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
🤣🤣🤣 sasa niko serious mkuu, usinitoe kwenye reli wadau washindwe kunipa msaada.We si tajiri?, agiza hata china
we agiza kontena la mahindi ya popcorn, masuala ya kilo 1 waachie ma jobless pro max.🤣🤣🤣 sasa niko serious mkuu, usinitoe kwenye reli wadau washindwe kunipa msaada.
Mkuu unanipoteza niache nisubiri ndugu humu waje kunitoa tongo tongo.we agiza kontena la mahindi ya popcorn, masuala ya kilo 1 waachie ma jobless pro max.
Sikumbuki hata