Naomba kujulishwa jinsi ya kufika Brazil

Huu ndo ukweli mtupu 100%. Tena nakazia hapo, kama lengo lake ni kwenda kufanya kazi Brazil basi atakuja kujuta maamuzi yake.
Kama hujasoma uzi wote usikimbilie kureply tafadhali
 
Kuna mtu humu anatajwa kuwa mtaalam wa dark science huwa ana jina lenye abbrev ya jr.
Atakukalisha kwenye jani la mkomamnaga dk humalizi uko huko upendako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi ngozi nyeusi mbona tunapenda kukatishana tamaa namna hii???mtu kauliza swali mwingine anajibu sijui vianzi vitamu imekuaje?mnachoshaga sana apo tu.ndakusaidia kimawazo njoo pm.japo sio mwenyeji huko lakini njia za chini nazimanya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…