Naomba kujulishwa kuhusu hisa za makampuni

jonas255

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
225
Reaction score
110
Wadau habari.

Mimi leo nimenunua hisa 1000 kwenye kampuni sasa nilitaka kujua baada ya gawio la mwaka nitatakiwa kununua hisa zingine kama wanachama wapya au hizo hisa zangu 1000 zitaendelea kunipa gawio la kila mwisho wa mwaka? Natanguliza shukrani
 
Hizo ni hisa zako zitaendelea kuwa hivyo hivyo, labda ukitaka kununua zingine sawa, ila hakuna sheria inayokulazimisha kununua zaidi. Pia unaweza usipate gawio kama una ordinary shares, ila ka una preference share unaweza pata depending ka ni cummulative etc. Vile vile iwapo kampuni itaamua kuuza share zaidi unaruhusiwa kununua pia
 
Asante sana
 
Back
Top Bottom