Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni hisa zako zitaendelea kuwa hivyo hivyo, labda ukitaka kununua zingine sawa, ila hakuna sheria inayokulazimisha kununua zaidi. Pia unaweza usipate gawio kama una ordinary shares, ila ka una preference share unaweza pata depending ka ni cummulative etc. Vile vile iwapo kampuni itaamua kuuza share zaidi unaruhusiwa kununua piaWadau habari.
Mimi leo nimenunua hisa 1000 kwenye kampuni sasa nilitaka kujua baada ya gawio la mwaka nitatakiwa kununua hisa zingine kama wanachama wapya au hizo hisa zangu 1000 zitaendelea kunipa gawio la kila mwisho wa mwaka? Natanguliza shukrani
Asante sanaHizo ni hisa zako zitaendelea kuwa hivyo hivyo, labda ukitaka kununua zingine sawa, ila hakuna sheria inayokulazimisha kununua zaidi. Pia unaweza usipate gawio kama una ordinary shares, ila ka una preference share unaweza pata depending ka ni cummulative etc. Vile vile iwapo kampuni itaamua kuuza share zaidi unaruhusiwa kununua pia