Nimepangwa hii wilaya kikazi na serikali ni mgeni na sijui chochote kama mjuavyo hakuna kurudi nyuma.naomba kujulishwa kuhusu huduma za jamii katika eneo husika na mmoja mbili tatu za wanajamii wenyewe Sio mbya nikaambiwa kuhusu shule ambazo ni nzuri.