naomba kujulishwa kuhusu Nyang'whale geita.

naomba kujulishwa kuhusu Nyang'whale geita.

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Nimepangwa hii wilaya kikazi na serikali ni mgeni na sijui chochote kama mjuavyo hakuna kurudi nyuma.naomba kujulishwa kuhusu huduma za jamii katika eneo husika na mmoja mbili tatu za wanajamii wenyewe Sio mbya nikaambiwa kuhusu shule ambazo ni nzuri.
 
Back
Top Bottom