Naomba kujulishwa utaratibu wa kutoa hisa zangu Mwalimu Commercial Bank maana tangu ianzishwe hisa zinashuka tu

sem2708

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,414
Reaction score
4,534
Hello wana JF,

Iatia hasira sana, tangu ni nunue his hiyo bank mwaka 2015 kwa tshs 500 mpaka leo haijawahi panda na zaidi inashuka leo hii ths 380 kwa hisa.

Naona hii bank itakuja ishia na pesa za watu. Kama wameshindwa kuiendesha basi bora ifungwe. Ninachoona kuna wajanja wanakula pesa kiasi kwamba haizai faida...
 
Tuliza mshono watu waendelee kulamba asali
 
Mm mwenyewe Nina hisa zangu swalaa energy mkp Leo nashindwa kuzitoa na zimeboromoka kishenzi .iliwai panda kufika elf 2000 kutok Mia tano nilio nunulia enzi hzo Sasa HV cjui Ni 256
 
Kwa sasa katika bank industry, bank zenye uhakika ambazo zimejiorodhesha kwenye somo la hisa ni NMB na CRDB. Kuna vigezo vingi vyakuangalia kabla ya kununua hisa vikiwemo thamani ya hisa, liquidity, financial reports etc. Uwekezaji kwenye masoko ya hisa ni long term, usitegemee uwekeze leo mwakani utajirike hiyo ni ngumu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…