naomba kujulishwa

naomba kujulishwa

sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
jamani kwa mtu yeyote mwenye taarifa ya sakata la walimu kupitia CWT na serikali,wamefikia wapi?je serikali imezungumza chochote?maana hata hawa CWT wapo kiiimya,nadhani kuna haja ya walimu kujifunza kutoka kwa majirani zetu wa kenya,Walimu wa tanzania mjifunze na mjitambue huu si wakati wa kuwa waoga wakati hali ya maisha ni ngumu na haki zenu zimekaliwa tu,mkiungana na kuwa na umoja mnaweza kufanya mambo makubwa kama ya walimu wa keanya au hata kuwazidi
 
Back
Top Bottom