Naomba kujuulishwa kuhusu clearing and fowarding

tibmanzenjj

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
18
Reaction score
4
naomba kujua wadau , kozi hii hasa hushughulika na kazi gani na eneo gani , kwani nataka niiaply ,ahsanteni
 
Utapewa kibali na TPA na TRA kufanya kazi za customs clearance bandarini, airports, country boarders, makampuni binafsi ya clearing and forwarding na pia waweza kujiajiri mwenyewe kwa shughuli za clearing and forwarding. Soma tu inalipa.
 
kwa ujibuji huu wa maswali ni haki kwa tanzania kuendelea kudorora kitaaluma daima.
 
!
!
ni kozi ambayo inashughulikia mambo ya upokeaji na usambazaji mizigo. Wahitimu huwa mara nyingi huwa shughuli zao ni vituo vya mabasi, bandarini, vituo vya treni,viwanja vya ndege n.k. Huduma zote za usafirishaji na usambazaji zinapatikana kwao kuanzia wabebaji hadi kampuni za bima kwa mzigo wako........ningesema mengi ila niko high,nipiem email yako nikumwagie nondo zaidi nikiwa niko huru
 
asante email yangu tibmanzenj@outlook.com je inalipa ?
 
Kuclear na kufoward kama inavyojieleza ni kupokea na kusambaza mizigo kutoka sehemu moja kwenda nyingine hasa bandar, stand, airport,boarder n.k
 
kwa ujibuji huu wa maswali ni haki kwa tanzania kuendelea kudorora kitaaluma daima.

Na wewe si useme unachokijua!!! Jamaa anataka msaada sio kupima intellectuals. Au unadhani nadanganya kwa nilichokisema?....
Ama kweli kwa mfumo huu wa ukosoaji Tanzania tutaendelea kudorora ki taaluma
 
Kuclear na kufoward kama inavyojieleza ni kupokea na kusambaza mizigo kutoka sehemu moja kwenda nyingine hasa bandar, stand, airport,boarder n.k

hili hasa ndilo jibu ambalo hata mimi nlilitegemea asnate kiongozi.
 
Na wewe si useme unachokijua!!! Jamaa anataka msaada sio kupima intellectuals. Au unadhani nadanganya kwa nilichokisema?....
Ama kweli kwa mfumo huu wa ukosoaji Tanzania tutaendelea kudorora ki taaluma

hapana kiongozi lilitegemewa jibu kama la ''qn of sheba''alivo jibu ambalo muulizaji angetarajia kulipata na angeelewa vyema kutokana na swali lake kiongozi am sorry!
 
Back
Top Bottom