tibmanzenjj
Member
- Feb 26, 2014
- 18
- 4
naomba kujua wadau , kozi hii hasa hushughulika na kazi gani na eneo gani , kwani nataka niiaply ,ahsanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba kujua wadau , kozi hii hasa hushughulika na kazi gani na eneo gani , kwani nataka niiaply ,ahsanteni
Utapewa kibali na TPA na TRA kufanya kazi za customs clearance bandarini, airports, country boarders, makampuni binafsi ya clearing and forwarding na pia waweza kujiajiri mwenyewe kwa shughuli za clearing and forwarding. Soma tu inalipa.
kwa ujibuji huu wa maswali ni haki kwa tanzania kuendelea kudorora kitaaluma daima.
!
!
ni kozi ambayo inashughulikia mambo ya upokeaji na usambazaji mizigo. Wahitimu huwa mara nyingi huwa shughuli zao ni vituo vya mabasi, bandarini, vituo vya treni,viwanja vya ndege n.k. Huduma zote za usafirishaji na usambazaji zinapatikana kwao kuanzia wabebaji hadi kampuni za bima kwa mzigo wako........ningesema mengi ila niko high,nipiem email yako nikumwagie nondo zaidi nikiwa niko huru
kwa ujibuji huu wa maswali ni haki kwa tanzania kuendelea kudorora kitaaluma daima.
Kuclear na kufoward kama inavyojieleza ni kupokea na kusambaza mizigo kutoka sehemu moja kwenda nyingine hasa bandar, stand, airport,boarder n.k
Na wewe si useme unachokijua!!! Jamaa anataka msaada sio kupima intellectuals. Au unadhani nadanganya kwa nilichokisema?....
Ama kweli kwa mfumo huu wa ukosoaji Tanzania tutaendelea kudorora ki taaluma