Naomba kujuzwa ABC's za Uwakala sukari au mafuta

Naomba kujuzwa ABC's za Uwakala sukari au mafuta

mabestejr

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2022
Posts
205
Reaction score
122
Habari zenu,

Nilikuw napenda kuwa wakala wa sukari au mafuta kutoka kiwandani.

Yaani kuwa mfanyabiashara yoyote mwenye abc za kuwa uwakal wa bidhaa hizo na mtaji wa kuanzia.
 
Kwanza kabisa unatakiwa uwe na business license ,tin certificate na documents zote zinazokutambulisha kama mfanyabiashara mkubwa anzia hapo kwanza
 
Back
Top Bottom