mabestejr JF-Expert Member Joined Jun 8, 2022 Posts 205 Reaction score 122 Aug 13, 2023 #1 Habari zenu, Nilikuw napenda kuwa wakala wa sukari au mafuta kutoka kiwandani. Yaani kuwa mfanyabiashara yoyote mwenye abc za kuwa uwakal wa bidhaa hizo na mtaji wa kuanzia.
Habari zenu, Nilikuw napenda kuwa wakala wa sukari au mafuta kutoka kiwandani. Yaani kuwa mfanyabiashara yoyote mwenye abc za kuwa uwakal wa bidhaa hizo na mtaji wa kuanzia.
Blackmambaa New Member Joined May 19, 2023 Posts 3 Reaction score 1 Aug 13, 2023 #2 Kwanza kabisa unatakiwa uwe na business license ,tin certificate na documents zote zinazokutambulisha kama mfanyabiashara mkubwa anzia hapo kwanza
Kwanza kabisa unatakiwa uwe na business license ,tin certificate na documents zote zinazokutambulisha kama mfanyabiashara mkubwa anzia hapo kwanza
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Aug 13, 2023 #3 Ngoja waje kukupa muongozo...