Naomba kujuzwa ABCs zinazotakiwa kisheria na kitaaluma ili mtu aweze kufungua blog hapa nchini

sam-Akida

Senior Member
Joined
May 20, 2013
Posts
115
Reaction score
97
Habri waungwana,

Naomba kujua ABCs zinazotakiwa kisheria na kitaaluma ili mtu aweze kufungua blog hapa nchini. nomba kujua kwanza taratibu za kufuata ili kuwekeza ktk blog hapa nchini pasi na kukutana na mkono wa gavoo.

Pia taratibu au hatua za kufuata (kitaaluma na kitaalamu ) ili kuifanya iwe operationala na kupata wafuatiliaji wengi.
asante
 
Blog inayohusu nini, fafanua vizuri wadau wakuelewe. Binafsi namiliki blog kadhaa ambazo wasomaji wake wengi wanatoka USA, INDIA, NCHI ZA ULAYA, NA TZ KIDOGO SANA. Blog zangu zinahusu Wordpress, na Engineering na zote zimetengenezwa na Wordpress.
 
News nataka nivune maokoto adsense
 
Blog inayohusu nini, fafanua vizuri wadau wakuelewe. Binafsi namiliki blog kadhaa ambazo wasomaji wake wengi wanatoka USA, INDIA, NCHI ZA ULAYA, NA TZ KIDOGO SANA. Blog zangu zinahusu Wordpress, na Engineering na zote zimetengenezwa na Wordpress.
Word press na blogger ipi nzuri? maana natumia blogger
 
WordPress ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Unaweza kutafuta developer au unaweza kujifunza wewe mwenyewe na ukatengeneza Website yoyote unayoitaka.
 
Back
Top Bottom