Naomba kujuzwa adhabu ya mtu kushikwa na bangi kete 11

Joined
May 15, 2016
Posts
47
Reaction score
14
Habari wanajamvi,

Naomba msaada wa kujua adhabu ya mtu anayoweza kuadhibiwa pindi ashikwapo na BANGI keti 11.kuna ndugu yangu kashikwa na hizo keti 11 za bangi.
 
Habari wanajamvi naomba msaada wa kujua adhabu ya mtu anayoweza kuadhibiwa pindi ashikwapo na BANGI keti 11.kuna ndugu yangu kashikwa na hizo keti 11 za bangi
Hapo atahusishwa na maandalizi ya maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi.Ana kesi kubwa.Ingekuwa wakati mwingine angemuachia tuu huyo afande hiyo misokormto akavute
 
tatizo kesi yake tar5-11-2020
Iko ivi mkuu police wa bongo ukiwa unafatilia sana ndugu yako kituoni wanajua we hela unayo au unaogopa kukaa rumande ndo maana wanakutisha sijui mahakamani.na hata wakimpeleka mahakamani faini yake haiwezi kuwa laki tano hao niwajinga tu
 
sawa yaani mpk nimejikuta sielewi iweje juu ya hili. ila kwa laki tano rushwa duh!wacha tu afungwe mungu mwenyewe atalipa siku ya mwisho
 
Mkuu umeona ule uzi wa Gerezani na kuusoma kwa makini aisee ebu fanya mpango wa kumchomoa uyo jamaa yako akitoka atakulipa pesa yako

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
sawa yaani mpk nimejikuta sielewi iweje juu ya hili. ila kwa laki tano rushwa duh!wacha tu afungwe mungu mwenyewe atalipa siku ya mwisho
Hao wazushi tu mkuu wanawatisha kwa sababu wameona ndugu yako anamtu wakumfatilia kete 11 laki tano wakati kwa bei ya mtaani haifiki hata buku tano
 
Bangi imewekwa kwenye kundi la madawa ya kulevya. Zamani kidogo kwa kiasi hicho cha kete angejitetea ni mtumiaji angepewa kifungo cha miaka mitano. Ila akipandishwa kizimbani kwa hizi sheria mpya bhas atapata mvua ya maisha au miaka 30. Ni hatari sana ukikutwa na hizo bangi au madawa mengine ya kulevya, na mbaya zaidi wakiamua kukomaa na wewe ni kesi ambayo haina dhamana.
 
Wewe ndiye umempa ukweli wengine wanamjaza tu. Wakimpandisha kizimabni una hatari akala mvua ya kutosha.
 
Iko ivi mkuu police wa bongo ukiwa unafatilia sana ndugu yako kituoni wanajua we hela unayo au unaogopa kukaa rumande ndo maana wanakutisha sijui mahakamani.na hata wakimpeleka mahakamani faini yake haiwezi kuwa laki tano hao niwajinga tu
Bangi mahakamani ni mvua ya kutosha tu, mvua ya maana, unaweza shangaa miaka 30 hii hapa
 
sawa yaani mpk nimejikuta sielewi iweje juu ya hili. ila kwa laki tano rushwa duh!wacha tu afungwe Mungu mwenyewe atalipa siku ya mwisho.
Mungu atalipa siku ya mwisho?

Mungu alipe nini wakati jamaa yako kakamatwa na Bangi ambayo kisheria hairuhusiwi? unataka kusema kaonewa? kama issue ni kuombwa rushwa kubwa basi hata wewe una makosa coz utaka kushiriki kutoa rushwa jambo ambalo pia ni makosa kisheria.
 
sawa yaani mpk nimejikuta sielewi iweje juu ya hili. ila kwa laki tano rushwa duh!wacha tu afungwe mungu mwenyewe atalipa siku ya mwisho
Tafuteni hiyo pesa mkamtoe, ongeeni na hao maafande kesi isiende mahakamani, ombeni wasubiri kidogo, case ya bangi ni mvua ndefu sana, inawezekana ikawa mwsho wa yeye kuishi uraiani
 
Kama hel mnayo au hamna jitahidin hata kukopa mumtoe kaka yangu alikamatwa na kesi ya bangi tena yeye alipita tu maskani kusalimia washkaji wazee wakatokea wahusika wakakimbia kumbe waliacha bag Lina bangi polisi wakamkamata na kumpa kesi ya madawa tukaambiwa tulipe ml3 au jela miaka 30 kiukweli nilipiga ukunga baaadae tukajichanga tukawapa ml1 akaachiwa Ila alikaa wiki
 
Back
Top Bottom